Lyrics

Follow the words comfortably while rehearsal tools stay close by in the sidebar.

0 audios

Verse 1

Ewe Bwana wangu Yesu

Naja kwako niongoze

Katika njia zangu zote

Uwe kiongozi [kiongozi]

Uwe mfariji wangu

Niwapo katika shida

Kaa nami ewe mwokozi

Uniimairishe

Verse 2

Giza ndilo nimejua

Sijaiona nuru

Mwito wako umenivuta

Naja na mizigo [na mizigo]

Nong'oneza nami Yesu

Uniinue moyoni

Nitembee pamoja nawe

Unipe ushindi

Bridge

Siitafuti mali ya dunia hii

Maana ni ya muda kitambo tu itatoweka

Outro

Ninakushukuru Bwana

Kwa mibaraka yako

Neema zako za ajabu

Kwangu kila siku

Hivyo daima nitakusifu

Siku zote milele!

Comments 0 74 views

Log in to add a comment

No comments yet. Be the first to comment!

From the Blog