Vilindini - Thomas Achia

Psalm 61:1-2 (KJV)"Hear my cry, O God; attend unto my prayer. From the end of the earth will I cry unto thee, when my heart is overwhelmed: lead me to the rock that is higher than I."

 

Lyrics

Stanza 1

Vilindini mwa shida

Nakulilia

Nakukimbilia ewe bwana mapema

Unapozuru wengi walosongwa na shida

Nakusihi ewe bwana nisikie

Vilindini mwa shida

Nakulilia

Nakukimbilia ewe bwana mapema

Unapozuru wengi walosongwa na shida

Nakusihi ewe bwana nisikie

Refrain

Nakukimbilia e bwana nirehemu

Sikia dua zangu bwana

Unapozuru wengi walosongwa na shida

Nakusihi ewe bwana nisikie

Stanza 2

Bondeni mwa mauti nipitiapo soprano

U mlinzi wangu mimi siogopi soprano + tenor

Gongo lako na fimbo latosha kunilinda soprano + alto + tenor

Uwapo nami bwana sitikisiki all

Stanza 2 again

Bondeni mwa mauti nipitiapo soprano

U mlinzi wangu mimi siogopi soprano + tenor

Gongo lako na fimbo latosha kunilinda soprano + alto + tenor

Uwapo nami bwana sitikisiki all

Refrain

Nakukimbilia e bwana nirehemu

Sikia dua zangu bwana

Unapozuru wengi walosongwa na shida

Nakusihi ewe bwana nisikie

Voicenotes & Audios

Play something
0:00 / 0:00